Pages
Home
Mkongwe
Uswazi
New_Artist
Sports
Promotion
Events
Effect
Gallery
VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA LEO KATIKA PICHA.!
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiandamana kupinga
kitendo cha kijana Emmanuel Josephat anayedaiwa kukojolea Quran.
Barabara ikiwa imefungwa wakati wa vurugu hizo.
Wananchi wakishuhudia vurugu hizo.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa na baadhi ya
watuhumiwa waliokamatwa katika vurugu hizo za maandamano.
Wanausalama wakiwa kazini kuzuia vurugu hizo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment