RIPOTI YA ITV KUHUSU VURUGU ZA WANANCHI WA MTWARA ZILIZOSABABISHA WATU WAPOTEZE MAISHA



Mtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC

No comments:

Post a Comment