R.I.P Daud Mwingosi

PICHA HIZI ZINAONYESHA TUKIO ZIMA LILILOPELEKEA KIFO CHA MWANDISHI WA CHANEL TEN DAUDI.HAKIKA INASIKITISHA SANA.

Kikosi cha kutuliza ghasia kikiwa eneo la tukio.


Marehemu Daudi (aliezungushiwa duara)nusu saa kabla ya kifo chake







Marehemu Daudi Mwangosi alie chini akisulubiwa na Askari wenye silaha(tazama rangi ya surwali aliovaa)

Hii picha inaonyesha Marehemu Daudi akiwa amefikwa na umauti na askari hao wakiendelea na kumkabili mtu mwingine bila kujali.Inasikitisha

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi mfanyakazi wa ChanelTen.ulivyoonekana baada ya Kufanyiwa unyama huo.

Gari la Chadema likiwa limevunjwa vioo katika fujo hizo

Marehemu Daudi Mwingosi enzi za uhai wake.
Ama kwa hakika inasikitisha saana.Wake Up Tanzania/Jumaa Tanzania inawapa pole wafiwa na walioguswa na msiba huu kwa namna ya pekee.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMIN.
Picha zote na Wake up Tanzania.

No comments:

Post a Comment