BREAKIIIING NEWS, WATU 250 WAHOFIWA KUFA BAADA YA MELI YA MV SEAGUL KUZAMA


ABIRIA 250 waliokuwa wakisafiri kwa meli ya MV Seagul, kutoka Dar es Salaam kwenda Pemba, wanahofiwa kufa baada ya meli hiyo kuzama mchana leo kwenye Bahari ya Hindi.

Habari zilizothibishwa na Jeshi la Polisi zimesema kweli ajali hiyo imetokea na kwamba hivi sasa wanaitafuta meli hiyo kwa kutumia helkopta.

Habari zaidi za tukio hili tutazidi kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunapata.
 

MELI YA MV SEAGULL ILIYOZAMA LEO NA ABIRIA 250 HII HAPA

 
 
 

ASKARI WANAMAJI DAR WAKIJIANDAA NA BOTI KWENDA KWENYE AJALI YA MELI YA MV SEAGULL ILIYOZAMA NA ABIRIA 250 LEO

Askari Polisi Wanamaji wakiandaa kwenda kwenye ajali hiyo leo katika Bandari ya Dar es Salaam