TAZAMA PICHA TOFAUTI WANANCHI WA AFRIKA YA KUSINI WALIVYOSHEREKEA SIKU YA KUZALIWA YA MANDELA

Maelfu kwa maelfu ya wananchi wa nchini South Africa siku ya jana
 walikusanyika sehemu mbalimbali
kusherekea miaka 95 ya kiongozi wao,mpigania haki wa nchi hiyo
Nelson,Mandela ambae kwa sasa yupo
hospitali kutokana na maradhi ya mapafu yanayomkabili......

Watoto kwa wakubwa walikusanyika kuomba na kuimba
kwaajili ya mzee mandela apate afuheni na kurudia kwenye
afya yake kama zamani....
Japo wengi walikuwa wakitegemea kusikia lolote kutoka kwa
 familia lakini hadi sasa apakuwepo neno lolote
toka kwa Familia ya Tata Madiba kuhusiana na siku ya kusherekea
 miaka Mzee Nelson Mandela.....
Japo wananchi walikuwa wakihoji wakishangazwa na familia ya mzee
madiba mmoja alisikika akisema
''Nawashanga sana familia hii,hata kama mzee yupo hospital wanapaswa
 kutujuza juu ya hali yake
siku kama ya leo kutupa hata tumaini....wanapokaa kimya
wanafikiri sisi wananchi tutafikiriaje...?

Angalia Picha hizi Maeneo ya tofauti tofauti walivyosherekea
 Siku ya kuzaliwa kwa TATA MADIBA..





No comments:

Post a Comment