HAPPY BIRTHDAY!


Happy birthday Jumaa Said Seif & Rahma Said Seif
familia ya Bwana na Bib Said Mbinga wanayo furaha ya kukumbukia uzao wa vijano wao wapendwa waliozaliwa mapacha mnamo Tar 08/03/1989. Mpaka hii leo imetimia miaka 24 hatuna budi kumshukuru m/mngu kwa kila jambo na kuwazidishia maisha marefu na yenye baraka. Wake Up Tanzania ikishilikiana na Experience Picture team nao hawakuwa nyuma katika kutoa sapoti kwa vijana wenzao.

No comments:

Post a Comment