VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA LEO KATIKA PICHA.!

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiandamana kupinga



kitendo cha kijana Emmanuel Josephat anayedaiwa kukojolea Quran.

Barabara ikiwa imefungwa wakati wa vurugu hizo.
Wananchi wakishuhudia vurugu hizo.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa na baadhi ya 
watuhumiwa waliokamatwa katika vurugu hizo za maandamano.Wanausalama wakiwa kazini kuzuia vurugu hizo.

No comments:

Post a Comment