Wema Abraham Sepetu

SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU


Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, juzi  usiku wema alipokea sim akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa zilizoko Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar 

"ni juzi  tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......." 


wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wema 
.....................................................................................................................................

Wema Abraham Sepetu.... Atua bongo na scandal mpya ya kuchukua mume wa mtu. Msani wa bongo movie wema angushiwa tifu la mwaka badala ya kugundulika kutoroka na mume wa mtu na kwenda nae nje ya nchi. Mama wa mume huyo amesema alipata habari za wema kuwa anatoka na mume wake mapema ila alikuwa anasubiri mumewe arudi safari. Ye alikuwa akiamini mumewe yupo nje ya nchi kikazi kumbe alienda kula raha na msanii wa bongo movie baada ya kurudi safari mumewe akapewa habari kwamba wema ametoka safari moja na mumewe na tetesi zilizopo wema anaujauzito wa bwana mkubwa. mama kwa asira akamfata wema location na kutokea yalio tokea..........




UBAYA, ubaya tu! Tukio lililomkuta Wema Isaac Sepetu la kunusurika kuuawa katika fumanizi lake na mume wa kigogo wa Ikulu, linasadifu maneno hayo, Risasi Mchanganyiko lina sinema kamili.

WEMA APONEA CHUPUCHUPU

Wema ambaye maisha yake yamekuwa kama muvi, anadaiwa kuponea chupuchupu kuondolewa uhai baada ya gari lake kugongwa na gari la mwanamke anayedaiwa kuwa mtumishi wa Ikulu, nyuma kukiwa na madai kwamba ni yule anayelalamika kuporwa mume na staa huyo wa filamu za Kibongo.

NI MAENEO YA MWANAMBOKA

Kasheshe hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu ya Machi 5, mwaka huu, nje ya Pub ya Last Drop iliyopo Mwanamboka, Kinondoni, Dar es Salaam.

HABARI KAMILI

Muda mfupi baada ya tukio hilo, mapaparazi wetu walifika eneo la tukio ambapo walimsikia mwanamke huyo akifoka kuwa mumewe ndiye aliyemhonga gari na kumpangia nyumba.

Alisikika akirusha maneno akiwa ndani ya gari lake kuwa siku nyingi alikuwa akimuwinda Wema ili amshikishe adabu kwa kumchukulia mumewe, mpango ambao siku hiyo ulifanikiwa