Vicent Kigosi

     

Vicent kigosi(Ray) from Rj Company afanya maamuzi ya kuwachia vijana ukumbi wa bongo movie ikiwa kama mkongwe aliotikisa kwa miaka mingi nchini Tanzania na hata nje ya nchi yaTanzania.amesema,

Vicent yeye kwa sasa atabakia kuwa muongozaji tu kwa muda na kuwapa nafasi watu tofauti tofauti badala ya kufanya yeye mwenyewe kama awali ilivyokuwa.

Wapo wanaotangaza (uvumi) kwamba mkongwe ameishiwa lakini sikweli sababu Rj ni Company lazima tuoneshe watu Company inakuaje na inafanyaje kazi sababu company si mtu mmoja amesema Vicent tuache tabia yakuongelea vitu ambavyo havina ukweli ndani yake, kwani tunapotosh jamii ambayo inatuzunguka. Amesema filam ambayo itakayo kuja badala ya "I HATE MY BIRTHDAY" ameamua kucheza msanii mkali wa bongo movie na Mziki wa Bongo fleva Bongo Hemed Suleman a.k.a P.H.D ambayo inayo tegemewa kufanya vizuri kwa mwaka wa 2012. kaa tayari mpenzi wa filam Bongo.....