WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KILA MMOJA KWA KOSA LA UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA....

Askari wa polisi mjini Singida akiwaelekeza washitakiwa wanne wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha kuingia kwenye gari tayari kwenda kuanza kutumikia adhabu zao kila mmoja miaka 30 jela baada ya kutiwa hatia kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.Washitakiwa hao walitiwa hatiani kwa kosa la kuteka gari la chuo kikuu cha SUA SU 37012 na kisha kuwapora abiria shilingi 8.7 milioni.Pia walibomoa na kusachi jeneza lililokuwa limehifadhiwa mwili wa marehemu mwanafunzi wa SUA,Munchari Lyoba uliokuwa ukipelekwa mkoa wa Mara kwa mazishi.

DOGO JANJA ATIMULIWA MTANASHATI ENTERTAINMENT KWASABABU YA UNYWAJI POMBE,UVUTAJI BANGI NA KUTOKWENDA SHULE....


Akizungumza na Mtandao huu, kiongozi wa Mtanashati Entertainment Ustaadh Juma Namusoma alisema kuwa sababu za kumtimua Dogo Janja ni utovu wa nidhamu, unywaji pombe, kutokwenda shule pamoja na uvutaji bangi.
 

MBUNGE WA CCM MWENYE MIAKA 60 AJIKUTA KWENYE KASHFA NZITO BAADA YA KUOLEWA NA KIJANA WA MIAKA 26....

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.

UKATILI!! MWANAUME AMNYWESHA MPENZI WAKE TINDIKALI, KISA WIVU.....Jitendra Sakhpal akisindikizwa na polisi kuingia mahakamani. Msichana mdogo ameungua vibaya baada ya rafiki yake wa kiume aliyevunja naye uchumba kudaiwa kumtega walipokutana, kumlazimisha kunywa tindikali na kumsukumia kwenye bahari.

WAASI WA M23 WAMUUA MWANAJESHI WETU WA JWTZ HUKO KONGO


TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUFARIKI KWA AFISA WA JWTZ KATIKA JUKUMU LA KULINDA AMANI - DRC, GOMA

TRAFFIKI FEKI ALIYEKAMATWA HIVI KARIBUNI ALIKUWA NI MFUNGWA WALIYETOROKA GEREZANIMAZITO tena yameibuka kuhusu yule trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es Salaam ambaye yuko Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya kujifanya askari wa usalama barabarani.

UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI


Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.

MWIGULU NCHEMBA ATAKA MBOWE NA DR. SLAA WAKAMATWE KWA MAUAJI YA RAIA

 MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua hali ya hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk. Wilbroad Slaa, wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha mauaji ya raia.

CHUPI NA SHANGA ZA MSANII SHILOLE ZAANIKWA NJE- FIESTA